Thursday, May 22, 2014

LIVERPOOL ROHO JUU KUUMIA KWA SUAREZ



Liverpool remain in the dark over reports Luis Suarez has suffered a knee injury while on international duty with Uruguay.
Reports surfacing in the Uruguayan media on Thursday suggested that Suarez will require surgery on a problem picked up in training.
The 27-year-old is said to have damaged his meniscus and could be out for four to six weeks - putting his FIFA World Cup participation in serious doubt.
However, when contacted by Perform, Liverpool revealed they have heard nothing from the Uruguayan Football Association about the injury, and are unlikely to have any input on any subsequent treatment Suarez requires.
Suarez's absence from the World Cup would represent a severe blow to Uruguay's hopes of emulating their superb performance at the tournament four years ago, when they reached the semi-finals.
The 2011 Copa America winners open their Group D campaign against Costa Rica on June 14, before then facing England and Italy.
Suarez - Uruguay's all-time leading goalscorer - enjoyed a blistering 2013-14 Premier League campaign, scoring 31 goals in 33 appearances as Liverpool finished second behind Manchester City.

MANCHESTER UNITED YAMNASA TONI KROOS

 Manchester United jana usiku ilikuwa katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa kiungo Toni Kroos kutoka klabu ya Bayern Munich ya Ujerumani.
Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Uingereza United tayari wamekubaliana ada ya uhamisho ya £20m kwa ajili ya kiungo huyo wa Ujerumani ambaye sasa anaingia kwenye mwaka wa mwisho wa mkataba wake na Bayern.
Kocha wa zamani wa United, David Moyes tayari alishamuweka Kroos kwenye mipango yake kabla ya kufukuzwa, na sasa kocha mpya wa klabu hiyo Louis van Gaal ametoa ruhusa ya kusajiliwa kwenye mchezaji huyo ambaye aliwahi kumfundisha wakati akiwa Bayern.
Baada ya miezi miwili ya mazungumzo baina ya United na Bayern, hatimaye siku chache zijazo United wanatarajiwa kumtangaza Toni Kroos kuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa kwa ajili ya msimu ujao.

WAFANYAKAZI WIZARA YA FEDHA WAASWA KUFANYAKAZI KWA BIDII NA KUJITUMA

Wafanyakazi Wizara ya Fedha wameaswa kufanyakazi kwa bidii na kujituma kwa moyo ili kukuza uchumi wa nchi na taifa liweze kusonga mbele na kufikia malengo yake.  
Kauli hiyo imetolewa na Mgeni Rasmi ambaye pia ni Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum wakati wa kufungua mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa wizara hiyo hivi karibuni jijini Dar es salaam. 
“Mnapokuwa kwenye mkutano wenu mjadili bajeti bila kuwa na woga kwa kutumia weledi wenu mlionao na kutoa ushauri na maoni amabayo yatasaidia kujenga na kuimarisha Wizara katika kutekeleza majukumu yake iliyojipangiakwa kuzingatia uhalisia wa uchumi wa nchi” alisema Waziri Saada.  
Katika mkutano huo, Waziri Saada aliwapongeza wafanyakazi hao kwa kufuata maelekezo ya kuwa na vikao vya baraza la wafanyakazi mara mbili kwa mwaka kulingana na mkataba ambapo lengo lamkutano huo ni kupata taafirifa ya utekelezaji wa bajeti ya mwaka 2013/14 pamoja na kupitia na kujadili bajeti ya mwaka 2014/2015. 
Aidha, mkutano wa baraza hilo unafanyika kwa kuzingatia agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete na katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue kuitisha vikao kulingana na utaratibu uliowekwa. 
Naye Mwenyekiti wa Baraza hilo ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Servacius Likwelile akimkaribisha Mgeni Rasmi alisema kuwa mkutano huo ndio una wajibu wa  kupitia na kujadili bajeti ya mwaka uliopita na mwaka ujao wa fedha ambapo bajeti ya Taifa itasomwa Juni 12, 2014. 
Kwa upande wake Naibu Waziri wa Fedha Adam Malima alisema kuwa moyo na kiini cha hatima nchi ipo mikononi mwa watumishi wa Wizara ya Fedha, hivyo ameahidi kuwa ofisi yake kwa kushrikiana na Naibu Waziri mwenzake Mwigulu Nchemba ipo wazi wakati wote ili kuweza kusukuma maendeleo ya nchi. 
Akimshukuru Mgeni Rasmi kwa niaba ya wajumbe wa mkutano huo, Naibu Katibu Mkuu Wizara hiyo Elizabeth Nyambibo alisema kuwa wajumbe wamemsikia na watafanya kazi kwa bidii na kuwa wabunifu ikiwa ni pamoja na kuwapa ushirikiano viongozi wao walioteuliwa na Rais ili waendelee kuwa “Majembe” katika Wizara hiyo. 
Mkutano huo ulihudhuriwa na wajumbe kutoka nchi nzima ambao watahakikisha  nchi imefika hatua ya kuwa na uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025 kulinganana na malengo iliyojiwekea katika mpango mkakati wake.

RATIBA>> KOMBE LA DUNIA BRAZIL 2014 HII HAPA










12 JUNI 1014-13 JULAI 2014
-TIMU: 32
-VIWANJA: 12 TOKA MIJI 12

DONDOO MUHIMU:

-HIZI NI FAINALI ZA 20
-NI MARA YA PILI KWA BRAZIL KUWA MWENYEJI WA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA, MARA YA KWANZA ILIKUWA MWAKA 1950
-TIKETI ZA MECHI ZA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA BRAZIL 2014 ZITAANZA KUUZWA TAREHE 20 AGOSTI 2013 NA ZIPO JUMLA YA TIKETI MILIONI 3.3 ZITAZOUZWA KUPITIA MTANDAO WA FIFA


TIMU AMBAZO TAYARI ZIMEFUZU KUCHEZA FAINALI ZA KOMBE LA DUNIA
[FAINALI ITAKUWA NI TIMU 32]
-BRAZIL==WENYEJI
-JAPAN
-AUSTRALIA
-IRAN
-SOUTH KOREA

DROO YA KUPANGA MAKUNDI
-KUFANYIKA TAREHE 6 DESEMBA 2013 Costa do Sauípe Resort, Mata de São João in Bahia, Brazil
-Kwenye Droo hiyo Timu 7, pamoja na BRAZIL, ambazo ziko juu kwenye Listi ya FIFA ya Ubora Duniani zitawekwa Chungu Na 1 na Timu nyingine 24 zilizobakia zitagawanywa nane nane na kuingizwa Vyungu vingine vitatu na kutenganishwa kutoka Mabara zinakotoka.

RATIBA:

MUDA NI WA A.MASHARIKI]
KUNDI A

12 Juni 2014
23:00 Brazil v A2 [Arena Corinthians, São Paulo]
13 Juni 2014
19:00 A3 v  A4 [Arena das Dunas, Natal]
17 Juni 2014
23:00 Brazil v A3 [Estádio Castelão, Fortaleza]
18 Juni 2014
23:00 A4 v  A2 [Arena Amazônia, Manaus]
23 Juni 2014
23:00 A4 v Brazil [Estádio Mané Garrincha, Brasília]
23 Juni 2014
23:00 A2 v A3 [Arena Pernambuco, Recife]

KUNDI B
13 Juni 2014
22:00 B1 v B2 [Arena Fonte Nova, Salvador]
13 Juni 2014
0200 B3 v B4 [Arena Pantanal, Cuiabá]
18 Juni 2014
01:00 B1 v B3 [Estádio do Maracanã, Rio de Janeiro]
18 Juni 2014
19:00 B4 v B2 [Estádio Beira-Rio, Porto Alegre]
23 Juni 2014
19:00 B4 v B1 [Arena da Baixada, Curitiba]
23 Juni 2014
19:00 B2 v B3 [Arena Corinthians, São Paulo]

KUNDI C
14 Juni 2014
19:00 C1 v C2 [Estádio Mineirão, Belo Horizonte]
14 Juni 2014
01:00 C3 v C4 [Arena Pernambuco, Recife]
19 Juni 2014
19:00 C1 v C3 [Estádio Mané Garrincha, Brasília]
19 Juni 2014
01:00 C4 v C2 [Arena das Dunas, Natal]
24 Juni 2014
00:00 C4 v C1 [Arena Pantanal, Cuiabá]
24 Juni 2014
23:00 C2 v C3 [Estádio Castelão, Fortaleza]

KUNDI D
14 Juni 2014
22:00 D1 v D2 [Estádio Castelão, Fortaleza]
14 Juni 2014
22:00 D3 v D4 [Arena Amazônia, Manaus]
19 Juni 2014
22:00 D1 v D3 [Arena Corinthians, São Paulo]
20 Juni 2014
19:00 D4 v D2 [Arena Pernambuco, Recife]
24 Juni 2014
19:00 D4 v D1 [Arena das Dunas, Natal]
24 Juni 2014
19:00 D2 v D3 [Estádio Mineirão, Belo Horizonte]

KUNDI E
15 Juni 2014
19:00 E1 v E2 [Estádio Mané Garrincha, Brasília]
15 Juni 2014
22:00 E3 v E4 [Estádio Beira-Rio, Porto Alegre]
20 Juni 2014
22:00 E1 v E3 [Arena Fonte Nova, Salvador]
20 Juni 2014
01:00 E4 v E2 [Arena da Baixada, Curitiba]
25 Juni 2014
00:00 E4 v E1 [Arena Amazônia, Manaus]
25 Juni 2014
23:00 E2 v E3 [Estádio do Maracanã, Rio de Janeiro]

KUNDI F
15 Juni 2014
01:00 F1 v F2 [Estádio do Maracanã, Rio de Janeiro]
16 Juni 2014
22:00 F3 v F4 [Arena da Baixada, Curitiba]
21 Juni 2014
19:00 F1 v F3 [Estádio Mineirão, Belo Horizonte]
21 Juni 2014
02:00 F4 v F2 [Arena Pantanal, Cuiabá]
25 Juni 2014
13:00 F4 v F1 [Estádio Beira-Rio, Porto Alegre]
25 Juni 2014
19:00 F2 v F3 [Arena Fonte Nova, Salvador]

KUNDI G
16 Juni 2014
19:00 G1 v G2 [Arena Fonte Nova, Salvador]
16 Juni 2014
01:00 G3 v G4 [Arena das Dunas, Natal]
21 Juni 2014
22:00 G1 v G3 [Estádio Castelão, Fortaleza]
22 Juni 2014
23:00 G4 v G2 [Arena Amazônia, Manaus]
26 Juni 2014
19:00 G4 v G1 [Arena Pernambuco, Recife]
26 Juni 2014
19:00 G2 v G3 [Estádio Mané Garrincha, Brasília]

KUNDI H
17 Juni 2014
19:00 H1 v H2 [Estádio Mineirão, Belo Horizonte]
17 Juni 2014
02:00 H3 v H4 [Arena Pantanal, Cuiabá]
22 Juni 2014
01:00 H1 v H3 [Estádio do Maracanã, Rio de Janeiro]
22 Juni 2014
19:00 H4 v H2 [Estádio Beira-Rio, Porto Alegre]
26 Juni 2014
23:00 H4 v H1 [Arena Corinthians, São Paulo]
26 Juni 2014
23:00 H2 v H3 [Arena da Baixada, Curitiba]

RAUNDI YA MTOANO YA TIMU 16
28 Juni 2014
[Mechi ya 49] 19:00 Mshindi Kundi A v Mshindi wa Pili Kundi B [Estádio Mineirão, Belo Horizonte]
28 Juni 2014
[Mechi ya 50] 23:00 Mshindi Kundi C v Mshindi wa Pili Kundi D [Estádio do Maracanã, Rio de Janeiro]
29 Juni 2014
[Mechi ya 51] 19:00 Mshindi Kundi B v Mshindi wa Pili Kundi A [Estádio Castelão, Fortaleza]
29 Juni 2014
[Mechi ya 52] 23:00 Mshindi Kundi D v Mshindi wa Pili Kundi C [Arena Pernambuco, Recife]
30 Juni 2014
[Mechi ya 53] 19:00 Mshindi Kundi E v Mshindi wa Pili Kundi F [Estádio Mané Garrincha, Brasília]
30 Juni 2014
[Mechi ya 54] 23:00 Mshindi Kundi G v Mshindi wa Pili Kundi H [Estádio Beira-Rio, Porto Alegre]
1 Julai 2014
[Mechi ya 55] 19:00 Mshindi Kundi F v Mshindi wa Pili Kundi E [Arena Corinthians, São Paulo]
1 Julai 2014
[Mechi ya  56] 23:00 Mshindi Kundi H v Mshindi wa Pili Kundi G [Arena Fonte Nova, Salvador]

ROBO FAINALI
4 Julai 2014
[Mechi ya  57] 23:00 Mshindi Mechi ya 49 v Mshindi Mechi ya 50 [Estádio Castelão, Fortaleza]
4 Julai 2014
[Mechi ya  58] 19:00 Mshindi Mechi ya 53 v Mshindi Mechi ya 54 [Estádio do Maracanã, Rio de Janeiro]
5 Julai 2014
[Mechi ya  59] 23:00 Mshindi Mechi ya 51 v Mshindi Mechi ya 52 [Arena Fonte Nova, Salvador]
5 Julai 2014
[Mechi ya  60] 19:00 Mshindi Mechi ya 55 v Mshindi Mechi ya 56 [Estádio Mané Garrincha, Brasília]

NUSU FAINALI
8 Julai 2014
23:00 Mshindi Mechi ya 57 v Mshindi Mechi ya 58 [Estádio Mineirão, Belo Horizonte]
9 Julai 2014
23:00 Mshindi Mechi ya 59 v Mshindi Mechi ya 60 [Arena Corinthians, São Paulo]

MSHINDI WA TATU
12 Julai 2014
23:00 Waliofungwa Nusu Fainali kukutana [Estádio Mané Garrincha, Brasília]

FAINALI
13 Julai 2014