![]() |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akibofya kitufe huku wazee wa Njombe wakirusha njiwa kuashiria kuzinduliwa rasmi mkoa wa Njombe leo Oktoba 18, 2013 katika Uwanja wa Sabasaba mjini Njombe
|
| Burudani ikiendelea kwa ngoma ya asili toka Ludewa kutumbuiza. |
| Picha/ mchoro unaoonesha jinsi kitakavyokuwa kituo cha mabasi kikikamilika kujengwa huko Mjimwema. |

No comments:
Post a Comment