Thursday, January 24, 2013

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI “PRESS RELEASE” TAREHE 23.01.2013.

KAMANDA DIWANI RPC MBEYA

WILAYA YA MBEYA VIJIJINI - AJALI YA GARI KUACHA NJIA KUGONGA NYUMBA NA KUSABABISHA KIFO

MNAMO TAREHE 22/01/2013 MAJIRA YA SAA 18:30 HRS HUKO MAENEO YA IMEZU KATIKA BARABARA YA MBEYA/IRINGA WILAYA YA MBEYA VIJIJINI MKOA WA MBEYA.. GARI NO T 905 AGX / T 844 ASK AINA YA SCANIA LIKIENDESHWA NA DEREVA ASIYEFAHAMIKA JINA WALA ANUANI YAKE LILIACHA NJIA NA KUGONGA NYUMBA YA NDELE S/O KWIMBA , MIAKA 50,MSAFWA,MKULIMA NA MKAZI WA IMEZU NA KUSABABISHA KIFO CHAKE MAJIRA YA SAA 22:30 HRS WAKATI AKIENDELEA KUPATIWA MATIBABU KATIKA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA . DEREVA ALIKIMBIA MARA BAADA YA AJALI HIYO NA KULITELEKEZA GARI ENEO LA TUKIO. CHANZO CHA AJALI HIYO NI MWENDO KASI. MWILI WA MAREHEMU UMEHIFADHIWA HOSPITALINI HAPO NA JITIHADA ZA KUMTAFUTA DEREVA HUYO ZINAFANYIKA. KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI WA POLISI DIWANI ATHUMANI ANATOA WITO KWA MADEREVA KUWA NA TAHADHARI WAWAPO BARABARANI KWA KUZINGATIA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI ZILIZOWEKWA ILI KUEPUSHA AJALI ZINAZOWEZA KUEPUKIKA. AIDHA ANATOA RAI KWA MTU/WATU WENYE TAARIFA JUU YA ALIKO DEREVA HUYO AZITOE ILI AKAMTWE VINGINEVYO AJISALIMISHE MARA MOJA.

WILAYA YA MBEYA MJINI - KUPATIKANA NA POMBE HARAMU YA MOSHI [GONGO]

MNAMO TAREHE 22.01.2013 MAJIRA YA SAA 11:00HRS HUKO KATIKA KILABU CHA POMBE ZA KIENYEJI MAKETE {B} MWANJELWA JIJI NA MKOA WA MBEYA. ASKARI POLISI WAKIWA DORIA WALIMKAMATA DAVID S/O EDWIN, MIAKA 38, KYUSA, MKULIMA KAZI WA MAKUNGULU AKIWA NA POMBE YA MOSHI UJAZO WA LITA 5 . MTUHUMIWA NI MUUZAJI, TARATIBU ZINAFANYWA ILI MTUHUMIWA AFIKISHWE MAHAKAMANI. KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI WA POLISI DIWANI ATHUMANI ANATOA WITO KWA JAMII KUACHA MATUMIZI YA POMBE HARAMU YA MOSHI KWANI NI KINYUME CHA SHERIA NA NI HATARI KWA AFYA YA MTUMIAJI. WILAYA YA MBEYA MJINI - KUPATIKANA NA POMBE HARAMU YA MOSHI [GONGO] MNAMO TAREHE 22.01.2013 MAJIRA YA SAA 11:00HRS HUKO MWANJELWA JIJI NA MKOA WA MBEYA. ASKARI POLISI WAKIWA DORIA WALIMKAMATA MARRY D/O MBUYA, MIAKA 62, KYUSA, MKULIMA KAZI WA KABWE AKIWA NA POMBE YA MOSHI UJAZO WA LITA 9. MTUHUMIWA NI MUUZAJI WA POMBE HIYO, TARATIBU ZINAFANYWA ILI MTUHUMIWA AFIKISHWE MAHAKAMANI. KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI WA POLISI DIWANI ATHUMANI ANATOA WITO KWA JAMII KUACHA MATUMIZI YA POMBE HARAMU YA MOSHI KWANI NI KINYUME CHA SHERIA NA NI HATARI KWA AFYA YA MTUMIAJI.

WILAYA YA MBEYA MJINI - KUPATIKANA NA BANGI.

MNAMO TAREHE 22.01.2013 MAJIRA YA SAA 11:45HRS HUKO ILOMBA JIJI NA MKOA WA MBEYA. ASKARI POLISI WAKIWA DORIA WALIMKAMATA LUGANO S/O KENEDY,MIAKA 28,MNGONI,MKULIMA KAZI WA ILOMBA AKIWA NA BHANGI KETE 40 SAWA NA GRAM 200 MTUHUMIWA NI MUUZAJI NA MVUTAJI WA BHANGI, TARATIBU ZINAFANYWA ILI MTUHUMIWA AFIKISHWE MAHAKAMANI. KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI WA POLISI DIWANI ATHUMANI ANATOA WITO KWA JAMII KUACHA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA KWANI NI KINYUME CHA SHERIA NA NI HATARI KWA AFYA YA MTUMIAJI.


Signed By, [DIWANI ATHUMANI – ACP] KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA.

Sunday, January 20, 2013

KEITA AIBEBA MALI MATAIFA YA AFRIKA

A late goal from Seydou Keita saw Mali secure a crucial 1-0 win over Niger in their Africa Cup of Nations
Group B match in Port Elizabeth on Sunday night. The Eagles’ victory at Nelson Mandela Bay Stadium sees them top the pool on three points ahead of Ghana and DR Congo, who drew 2-2 earlier in the day. Mali deserved the victory after dominating possession and having more chances, including hitting the woodwork. There was an early effort from Diabate as he drove a low effort in the third minute. However, Kassaly got done well to hold for Niger. Then an ambitious shot from Traore from 35-yards out drifted wide via a deflection in the 16th minute. In the 22nd minute Niger won a corner on the right flank. Issoufou delivered and after a scramble, the ball dropped to Dan Kowa. He smashed a shot goal bound, but Samassa did well to block his effort and the ball rolled out for the throw in. On the half hour mark, Traore delivered and the ball took a slight deflection as it was aimed towards the back post. Diarra was unmarked, but couldn’t adjust his body shape and kneed the ball out for a goal kick. He had the Niger keeper at his mercy after the shot-stopper had initially missed the ball in the air. In the 66th minute Mahamadou Samassa fainted past his markers, but put his low right-footed shot into the side of the net. In the 78th minute there was a great chance for Mali. Diarra picked out Diabate in space. He cushioned his lay off for Keita, who looked to pass the ball into the back of the net. The midfielder struck the post before Lancina could put behind for a corner. With six minutes remaining the Eagles of Mali found the crucial g  

RATIBA MATAIFA YA AFRIKA



Group A:
19/01/2013 Angola 0 Morocco 0
________________________________________
23/01/13:
• Afrika Kusini dhidi ya Angola (Saa Kumi na mbili Jioni)
• Morocco dhidi ya Cape Verde (Saa Tatu za Usiku)
27/01/13:
Afrika Kusini dhidi ya Morocco (Saa Mbili za Usiku)
Cape Verde dhidi ya Angola (Saa Mbili za Usiku)

Group B
_________________________________________________________
20/01/13:
• Ghana dhidi ya DR Congo (Saa Kumi na Mbili za Jioni)
• Mali dhidi ya Niger (Saa Tatu za Usiku)
24/01/13:
• Ghana dhidi ya Mali (Saa Kumi na Mbili za Jioni)
• Niger dhidi ya DR Congo (Saa Tatu za Usiku)
28/01/13:
Ghana dhidi ya Niger (Saa Mbili za Usiku)
DR Congo dhidi ya Mali (Saa Mbili za Usiku)

Group C
_________________________________________________________
21/01/13:
Zambia v Ethiopia (Saa Kumi na Mbili Jioni)
Nigeria v Burkina Faso (1 (Saa Tatu za Usiku)
25/01/13:
• Zambia dhidi ya Nigeria (Saa Kumi na Mbili za Usiku)
• Burkina Faso dhidi ya Ethiopia (Saa tatu za Usiku)
29/01/13:
• Zambia dhidi ya Burkina Faso (Saa Mbili za Usiku)
• Ethiopia dhidi ya Nigeria (Saa Mbili za Usiku)

Group D
_________________________________________________________
22/01/13:
• Ivory Coast dhidi ya Togo (1500) ()
• Tunisia dhidi ya Algeria (1800) ()
26/01/13:
• Ivory Coast dhidi ya Tunisia (1500) ()
• Algeria dhidi ya Togo (1800) ()
30/01/13:
• Ivory Coast dhidi ya Algeria (Saa Mbili za Usiku)
• Togo dhidi ya Tunisia (Saa Mbili za Usiku)

Quarter-finals
02/02/13:
• Mshindi wa kundi B kupambana na timu ya pili kundi A (Saa Kumi na Mbili za Usiku)
• Mshindi wa kundi A kumbana na timu ya pili kundi B (Saa tatu na nusu za Usiku)
03/02/13:
Mshindi wa kundi D dhidi ya timu ya pili kundi C (Saa Kumi na mbili jioni)
Mshindi wa kundi C dhidi ya timu ya pili kundi D ( (Saa tatu na nusu za Usiku)

Semi-finals
06/02/13:
Mshindi wa robo fainali ya pili dhidi ya mshindi wa robo fainali ya tatu saa (Saa Mbili za Usiku)
Mshindi wa robo fainali ya nne dhidi ya mshindi wa robo fainali ya kwanza (Saa tatu na nusu za Usiku)

Third place play-off
09/02/13:
Timu itakayoshindwa katika mechi ya nusu fainali (Saa tatu Usiku)

Final
10/02/13:
Washindi wa mechi ya nusu fainali (Saa Tatu za Usiku)

AJALI YA BASI LA NGANGA MMOJA AFARIKI PAPO HAPO NA...

Mbeya Yetu: AJALI YA BASI LA NGANGA MMOJA AFARIKI PAPO HAPO NA...: BASI LA NGANGA LILILOKUWALINATOKEA MBEYA KWENDA DSM LIMEPINDUKA ENEO LA IMEZU  MBEYA AJALI HIYO IMETOKEA MAJIRA YA SAA MBILI ASUBUHI...

Friday, January 11, 2013

Sunday, January 6, 2013

Arsenal yatoa sare na Swansea


Danny Graham took advantage of hesitant Arsenal defending to force a replay for Swansea in an entertaining 2-2 draw in the FA Cup on Sunday. After a lacklustre opening 45 minutes, second-half substitute Michu took mere minutes to break the deadlock and give the hosts the lead. However, two goals in three minutes from Lukas Podolski and Kieran Gibbs turned the tie on its head, only for Graham to lash home from inside the area after Arsenal failed to clear a late corner. Arsene Wenger made three changes to the side who drew 1-1 with Southampton, with Olivier Giroud, Per Mertesacker and Aaron Ramsey coming in for Podolski, Thomas Vermaelen and Alex Oxlade-Chamberlain respectively. Michu - who scored twice at the Emirates Stadium earlier in the season - had to make do with a place on the Swansea bench after failing to fully overcome a back injury. The opening 10 minutes saw the hosts more than happy to soak up a dominance of possession that Arsenal has rarely enjoyed against Swansea in recent league encounters, without showing any cutting edge in attack. But threatening on the counter, the Welsh side carved open the first real chance when Graham stung the palms of Wojciech Szczesny with a fine half-volley from the edge of the area. While the hosts were frustrating Arsenal with a solid defensive display, Chico Flores in particular impressing, the Gunners were not doing themselves any favours with aimless runs down the flanks and shots from distance. Again, Swansea nearly sprung a surprise when Kyle Bartley, in only his second appearance for the club since his move from north London, out-jumped Mertesacker and guided a header against the bar, with Szczesny beaten. Arsenal came out in the second half with more dynamism about their attacking play, with Giroud going close three times inside the opening seven minutes, only to be thwarted by Michel Vorm on each occasion. Loud shouts for a penalty to the visitors then followed when the Frenchman appeared to be felled by Bartley, but replays showed he tripped over his own heels. As an instant reaction to Arsenal's rediscovered flair, Michu was introduced by Michael Laudrup and rewarded his manager within seconds by controlling Graham's flick-on, gliding past Mertesacker with ease and holding off Laurent Koscielny to slot home his 15th goal of the season. Arsenal could, and perhaps should, have restored parity soon after when Ramsey found Giroud seven yards out, but the striker failed to hit the target with a header, before Theo Walcott dragged a shot past the far post with Vorm beaten. As the match entered the final 10 minutes, Swansea were being pushed further and further back by their opponents, and Arsenal's own second-half saviour Podolski spun smartly inside the area to convert Koscielny's flick into the area to level the scores. And the visitors were not done there. Just two minutes later Gibbs played a neat one-two with Mikel Arteta to dart into the area and smash a close-range volley into the roof of Vorm's net. But Swansea were not done there. With less than four minutes left to play, Arsenal failed to deal with a Swansea corner and allow Graham to beat Szczesny on the angle from close range and give his side a second bite of the apple.  

Saturday, January 5, 2013

YANGA, ARMINIA ZATOKA SARE

Kikosi cha Young Africans kilichoanza leo dhidi ya Armini Bielefeld

Timu ya Young Africans Sports Club imetoka sare ya bao 1-1 dhidi ya timu ya Arminia Bielefeld ya Ujerumani katika mchezo wa kirafiki uliofanyika leo jioni katika uwanja wa Adora Football pemebni kidogo ya mji wa Antalya. Armini Bielefeld ilianza soka kwa kasi kwa lengo la kujipatia bao la mapema lakini umakini wa walinzi wa Yanga na mlinda mlango Ally Mustafa 'Barthez' ilikuwa kikwazo kwao kwani mashambulizi yao yaliishia mikononi mwake. Ikiwa ni mchezo wake wa kwanza wa kujipima nguvu Young African iliweza kuonyesha soka safi katika kipindi cha kwanza hali iliyowashangaza wajerumani hao na kipindi cha pili kuamua kufanya mabadiliko ya kikosi kizima. Viungo wa Yanga Frank Domayo, Haruna Niyonzima na Kabange Twite waliweza kutawala mchezo kwa dakika 45 zote za kipindi cha kwanza huku baadhi ya wajerumani waliokuwa wakishuhudia mchezo huo kushangazwa na kiwango cha timu ya Yanga Hadi mapumziko timu zote zilikwenda mapumziko , Young Africans 0 - Arminia Bielefeld. Kipindi cha pili Arminia Bielefeld iliamua kubadilisha kikosi chake chote cha wachezaji kwa lengo la kuingiza nguvu mpya ili waweze kuikabili kasi ya wachezaji wa Yanga ambao walionekana kuwa imara na bora zaidi. Dakika ya 55 Yanga ilifanya mabadiliko kwa kuwatoa Said Bahanuzi na David Luhende na nafasi zao kuchukuliwa na Jerson Tegete na Saimon Msuva. Jerson Tegete aliipatia Young Africans bao la kwanza dakika ya 60 ya mchezo, akiunganisha pasi safi aliyopewa na Saimon Msuva aliyewatoka walinzi wa Arminia Bielefeld na kumpa pasi Tegete ambaye aliukwamisha mpira wavuni na kuhesabu bao la kwanza. Kuona hivyo wajerumani walikuja juu kusaka bao la kusawazisha, lakini bado ukuta wa Yanga uliendelea kuonekana kuwa makini lakini makosa ya mshika kibendera yaliipelekea Armini Bielefeld kupata bao la kusawazsiha dakika ya 81 kupitia kwa Eric Agyemang amabaye alikua ameotea. Mpaka dakika 90 za mchezo zinamalizika Young Africans 1 - 1 Armini Bielefeld. Kocha Mkuu wa Young Africans Ernest Brandts amesema amefurahishwa na kiwango walichokionyesha wachezaji wake na anaamini kadri siku zinavyokwenda wanazidi kuimarika na kuwa bora, hivyo katika michezo mingine wataendelea kuonyesha mabadiliko makubwa. Young Africans: Ally Mustafa 'Barthez, Mbuyu Twite, Oscar Joshua, Nadir Haroub 'Cannavaro', Kelvin Yondani, Kabange Twite, Haruna Niyonzima/Nizar Khalfan, Frank Domayo/Nurdin Bakari, Said Bahanuzi/Jerson Tegete, Didier Kavumbagu, David Luhende/Saimon Msuva

source=http://www.youngafricans.co.tz