Friday, April 26, 2013

VIONGOZI WA TIMU YA BA IN SOCIOLGY TEKU {TEKUBA} WAFANYA KIOKAO NA KUWEKA WAZI PROGRAM ZA TIMU.

kikosi cha Tekuba fc.


Uongozi wa timu ya mpira wa miguu teku TEKUBA FC tar. 20/04/2013 ulikaa kikao na kuadhimia yafuatayo:-

Mazoezi kufanyika siku ya jumamosi na jumanne
Wachezaji watakiwa kufika muda mwafaka uwanjani na kuwa na nidhamu
Ushirikiano kwa viongozi
Barua za kuomba mechi ziandikwe moja kwa moja kwa meneja wa timu.

Akiongea kwa msisitizo meneja wa timu hiyo Fidel Bikombo aliwataka viongozi kuwa na ushirikano na kuwasisitiza makocha mazoezi yawe ni ya kuongeza pumzi kwa wachezaji, hali ambayo itawapelekea wachezaji hao kuwa na uwezo wa kulisakata kabumbu kwa dk mpaka zaidi ya 150 kwa kasi kama waliyoanza nayo.

Kikao hicho kilihudhuriwa na meneja wa timu ndugu Fidel Bikombo, kocha mkuu salum Abdallah na kocha msaidizi sunnah Emmanuel, wengine ni nahodha wa timu hiyo Abel Kitta maarufu kama “Aki”, na wajumbe wengine kama Mr. Paul, Mgallah Ibrahim na wengineo.

Mungu ibariki TEKUBA FC Mungu ibariki Teofilo kisanji university.

MAAJABU YA DUNIA 2013; ANGALIA PICHA SAMAKI AVULIW...

UJANATZ: MAAJABU YA DUNIA 2013; ANGALIA PICHA SAMAKI AVULIW...

Thursday, April 4, 2013

MSIMAMO WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA






Team
MP
W
D
L
F
A
D
P

1

21
15
4
2
37
12
+25
49

2

21
13
4
4
36
16
+20
43

3
Previous rank: 4
22
10
7
5
25
18
+7
37

4
Previous rank: 3
21
9
8
4
30
19
+11
35

5

22
8
8
6
23
20
+3
32

6

22
8
8
6
24
22
+2
32

7

20
8
5
7
21
18
+3
29

8

22
7
7
8
22
24
-2
28

9

21
7
3
11
14
21
-7
24

10

21
6
4
11
19
34
-15
22

11
Previous rank: 13
23
4
9
10
20
30
-10
21

12
Previous rank: 11
22
4
8
10
11
21
-10
20

13
Previous rank: 14
22
5
4
13
15
32
-17
19

14
Previous rank: 12
22
3
9
10
11
21
-10
18







MSIMAMO WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA






Team
MP
W
D
L
F
A
D
P

1

21
15
4
2
37
12
+25
49

2

21
13
4
4
36
16
+20
43

3
Previous rank: 4
22
10
7
5
25
18
+7
37

4
Previous rank: 3
21
9
8
4
30
19
+11
35

5

22
8
8
6
23
20
+3
32

6

22
8
8
6
24
22
+2
32

7

20
8
5
7
21
18
+3
29

8

22
7
7
8
22
24
-2
28

9

21
7
3
11
14
21
-7
24

10

21
6
4
11
19
34
-15
22

11
Previous rank: 13
23
4
9
10
20
30
-10
21

12
Previous rank: 11
22
4
8
10
11
21
-10
20

13
Previous rank: 14
22
5
4
13
15
32
-17
19

14
Previous rank: 12
22
3
9
10
11
21
-10
18