Saturday, October 12, 2013

BREAKING NEWZ-- mtangazaji wa ITV apigwa risasi


Mtangazaji wa ITV, Ufoo Saro, amepigwa risasi muda mfupi uliopita na kujeruhiwa vibaya. Hivi sasa yuko hospitali ambako anapatiwa matibabu.

Mtu aliyempiga risasi alijiua hapo hapo baada ya kuwa amemuua mama aliyekuwepo wakati wa tukio. Taarifa za awali zinasema aliyeuawa ni mama yake Ufoo Saro.

No comments:

Post a Comment