Saturday, October 19, 2013

FILIKUNJOMBE AWALAUMU WENZAKE WA CCM KWENYE MCHAKATO WA KATIBA MPYA.




Akihojiwa na shirika la utangazaji (BBC) kuhusu mchakato wa katiba unavyokwenda, Filikunjombe amewalaumu wabunge wenzake wa CCM kwa kuutumia wingi wao vibaya na hivyo kushindwa kuwawakilisha vema wananchi.

Pia Filikunjombe amewaonya wabunge wa CCM kuacha kumpotosha Rais katika utendaji wake kwa kuitumia vibaya demokrasia ya "wengi wape"

No comments:

Post a Comment