Saturday, October 19, 2013

PICHA MBALI MBALI ZA MATUKIO KATIKA UZINDUZI WA MKOA WA NJOMBE



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akibofya kitufe huku wazee wa Njombe wakirusha njiwa kuashiria kuzinduliwa rasmi mkoa wa Njombe leo Oktoba 18, 2013 katika Uwanja wa Sabasaba mjini Njombe


Burudani ikiendelea kwa ngoma ya asili toka Ludewa kutumbuiza.

 Picha/ mchoro unaoonesha jinsi kitakavyokuwa kituo cha mabasi kikikamilika kujengwa huko Mjimwema.



                                      


No comments:

Post a Comment