| Wachezaji wa Timu ya Toto African wakimsikiliza kocha wao kujiaandaa na mpambano hapo kesho |
| John Tegete akitoa maelekezo kwa wachezaji wake. |
| Toto African wakifanya mazoezi ya mwisho kujiandaa kukabiliana na maafande wa Tanzania Prisons. |
| mlinda mlango wa Toto African |
| Kikosi cha maafande wa Tanzania Prisons watakaoshuka dimba hapo kesho kusaka pointi tatu mhimu katika dimba lao la nyumbani Sokoine. |
No comments:
Post a Comment